MWENYEMACHO DOT COM

Yanapojiri Nilipo na Wewe Upo

MWAROBAINI WA FOLENI DAR

Posted by Bob Sankofa on September 11, 2007

foleni.jpg

Juzi wakati nakuja kwenye mkutano wa DCI nilitua pale J’berg kwa muda. Wakati tunashuka nikanyuka hii, baadae wakati naihariri ili kuipandisha hapa nikawa najiuliza, je lile swala la njia tatu lililoanzishwa pale Bongo ndio dawa ya kudumu kwa tatizo la foleni au kuna mpango wa kuleta dawa kama hii?

Wenye mamlaka ya kuujibu hili tafadhali usisite kutujibu hapa.

3 Responses to “MWAROBAINI WA FOLENI DAR”

  1. Bob,
    Hii picha safi sana.Hizi ndio mimi huziita editorial photos.Ina maelezo yasiyopungua elfu moja ndani yake.Kazi nzuri.

  2. charahani said

    hivi bongo tungekuwa angalau na barabara nusu ya hizi hivi ule msongamano ungelikuwapo kweli. Poa sana mzee hii picha ni educative ile mbaya yaani ina mambo mengi mno ya kujifunza.

  3. Asante Jeff.

    Asante Charahani, bado najaribu kuwatia mkononi wenye kuweza kujibu maswali yako na yangu.

Leave a reply to charahani Cancel reply