MWENYEMACHO DOT COM

Yanapojiri Nilipo na Wewe Upo

Mimi ni Nani?

bob.jpgBob Sankofa (a.k.a. Philemon Msangi). Hilo ndio jina langu haswa.

Mtanzania. Huo ndio utaifa wangu. Na ninaishi hapahapa Tanzania.

Tarehe ya Kuzaliwa: 29/04/1980, huwa sisherehekei kumbukumbu ya siku yangu ya kuzaliwa. Huwa nafanya kazi zaidi kwani najua muda wa kuishi umezidi kupungua.

Mahusiano: Sijaoa ila nimeshachukuliwa 🙂

Mwanafotografia, mtengeneza filamu, mwanablogu, mjasiriamali, mfasiri na mwanablogu. Hizo ndizo kazi zinazoniweka hapa duniani.

+255 713 223 345 au +255 763 809 377.  Sijawahi kuzizima tangu nilipozinunua.

 

Barua pepe: babukadja@hotmail.com. Nakaa tarakilishini si chini ya msaa matano kila siku. Ukiandika, nitasoma, nitakujibu pia.

Jina la kwenye Skype: babukadja. Naipenda kwa sababu ni ya bure

Jina la kwenye MSN: babukadja@hotmail.com

Jina la kwenye Yahoo Messenger: babukadja@yahoo.com

Sanduku la Posta. Usijisumbue, sijaenda posta mwaka wa pili sasa.

Advertisements

One Response to “Mimi ni Nani?”

  1. Singe & Human!! hapo tu ndipo nilipopapenda.

    Nimefurahi kutembelea hapa.

 
%d bloggers like this: