MWENYEMACHO DOT COM

Yanapojiri Nilipo na Wewe Upo

Podikasti

1. TOKA RHYMSON NA KWANZA UNIT HADI ZAVARA, KULIKONI?

[odeo=http://odeo.com/audio/17193323/view]

Haya ni Mahojiano kati yangu na mwana Hip Hop mkongwe wa Tazania, Zavara Mponjika (Zamani akiitwa Rhymson). Tunazungumza kuhusu kazi zake na kubadilika kwa taswira yake toka hip hop yenye ushwawishi mkubwa wa Kimagharibi hadi Uafrika uliotukuka.

Advertisements

One Response to “Podikasti”

  1. […] http://mwenyemacho.com/podikasti/ […]

 
%d bloggers like this: