MWENYEMACHO DOT COM

Yanapojiri Nilipo na Wewe Upo

WASANII WACHONGAJI WANAWAKE TANZANIA

Posted by Bob Sankofa on March 4, 2008

womensculpturepostersmall2.jpg
Tarehe 7 ya mwezi huu katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa kutakuwa na maonesho ya sanaa ya uchongaji wa vinyago. Maonesho yatadumu kwa muda wa wiki tatu, hiyo ni hadi tarehe 26 ya mwezi huu wa tatu. Karibu uwape sapoti kina dada. Wasanii wenyewe ni Mwandale Mwanyekwa, Pili Mtonga, Hawa Jarufu na Pudenciana Mwamalumbili. Kwa taarifa zaidi soma posters zilizosambazwa jiji zima, hadi kule visiswa vya karafuu nako wanazo habari pia. Kila la heri!
Advertisements

One Response to “WASANII WACHONGAJI WANAWAKE TANZANIA”

  1. kanto said

    naona wanawake wanakuja na speed tanzania tuwapeni nafasi jamani, wanawake oyee.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: