MWENYEMACHO DOT COM

Yanapojiri Nilipo na Wewe Upo

NATIONAL TAARAB ALL STARS

Posted by Bob Sankofa on February 10, 2008

sauti-day-3-002_wazalendo.jpg

Jana tulikuwa nao hawa kwenye majira ya saa kumi na robo hivi. Ni wenyeji wa hapa Zanzibar na ni wakongwe wa muziki wa mwambao, taarab. Katika wote waliosimama kuimba katika kikundi hiki huyu dada ndiyo alinikosha sana kwa uzalendo wake, cheki anavyoitukuza bendera ya nchi yake.

Advertisements

2 Responses to “NATIONAL TAARAB ALL STARS”

 1. bblandi said

  Vazi nimelikubali

 2. Micky John Amos said

  Kusema kweli hili vazi la huyu dada limependeza saana,kwa bahati mbaya hatuna maelezo zaidi ya Band yake au huyu dada aliyependeza na hili vazi la Taifa,hii ingevutiwa na wabunifu wote wa huko nyumbani kutoka na kazi kama hii ya ubunifu wa vazi letu la Taifa badala ya kuiga mitindo ya nchi za huku nnje ambayo mara nyingi huwa haipendezi kwa vitego vya ununuzi wa nchi za huku nje.

  Nilipenda saana kumjuwa mbunifu wa hili vazi la Taifa alilovaa huyu dada mwimbaji wa hii Band ya Taarab,kama kutakuwepo na uwezekano huo kwa maonyesho ya sanaa na uuzaji nnje ya Tanzania.

  mickey@mail-online.dk
  DENMARK

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: