MWENYEMACHO DOT COM

Yanapojiri Nilipo na Wewe Upo

KAZI NA DAWA

Posted by Bob Sankofa on February 10, 2008

sauti-day-3-001_wadau.jpg

Ni dhambi kufanya kazi muda wote na kusahau kula. Hapa niko na wadau wangu walioko hapa tamashani. Tuko kwenye mgahawa wa mwanamuziki maarufu, marehemu Freddy Mercury. Unamkumbuka? Aliimba ule wimbo maarufu wa “Zanzibar, ooh Zanzibar, Beautiful Island, ooh Zanzibar”, umekumbuka sasa eeh, :-), poa sana. Freddy alikuwa ni mmoja wa watu waliokufa kwa Ukimwi miaka ile ya mwanzoni kabisa ugonjwa huu ulipoingia. Hakuona haya, alijitokeza hadharani na kuusema ukweli kuhusu hali ya afya yake.

Napenda kuwashukuru wote mnaotuma maoni lakini kwa sasa niko na mchakamchaka kidogo siwezi kujibu maoni ya mtu mmojammoja. Nikipata wasaha nitajibu. Baadae kidogo.

Advertisements

5 Responses to “KAZI NA DAWA”

 1. jangeer said

  Asante tena kwa picha mkuu!

  ila napenda kurekebisha uliyoandika hapo juu.
  Nyimbo ya Zanzibar unayosema iliimbwa na Sipho “hotstix” Mabuse toka South Africa, ambaye alishawahi pia piga muziki na lile kundi maarufu miaka ya 80’s likiitwa HARARI……..

  Freddy Mercury is a world reknowned, established and celebrated musician…..alikuwa member na lead singer wa ile group maarufu toka UK iitwayo QUEEN, na baadhi ya nyimbo zao maarufu ni “Bohemian Rhapsody”, “We are the champions”, ” We Will Rock You” etc.

  Kuhusu kumiliki hio sehemu hizo ni habari mpya na tunashukuru kwa kutufahamisha.
  asante sana.

 2. fidelis tungaraza said

  Bob,

  Marekebisho kidogo.

  Freddy Mercury (Farrokh Bulsara) alikuwa mwimbaji wa the Queens. The Queen ni bendi iliyokuwa inapiga rock n roll. Freddy na the Queens walikuwa ni trend setters.

  Zanzibar haikupigwa na the Queens ilipigwa na mwanamuziki Sipho “Hotstix” Mabuse wa Afrika ya Kusini.

  Mwandaniblogspot aliwahi kuandika juu ya Freddy Mercury: http://mwandani.blogspot.com/search?q=freddy+mercury

  Asante,
  Fidelis M Tungaraza.

 3. Asante kwa marekebisho Jangeer

 4. Cheki hii

  tusisahau freddie mercury na queen

 5. luihamu said

  Ndugu wanablogu tafadhali nawaombeni mtembelee hapa kwa nyimbo za raggaehttp://chantdownbabylon.podomatic.com/?badge=1

  na blogu yake ni http://www.chantdownbabylon.wordpress.com

  NUFF NUFF RESPECT.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: