MWENYEMACHO DOT COM

Yanapojiri Nilipo na Wewe Upo

BRING THE NOISE

Posted by Bob Sankofa on February 10, 2008

sauti-day-3-149_bring-the-noise.jpg

British Council waliwahi kuandaa shindano la kutafuta wanamuziki watakaounda bendi iitwayo Bring the Noise, katikati ya mwaka jana. BC walifanikiwa lengo lao na kutoka Tanzania mwanamuziki aliyeshinda shindano hilo alikuwa ni Paul Ndunguru (kushoto kabisa, mwenye gitaa). Nchi zingine zinazounda bendi hii ni Uganda, Kenya, Uingereza, Nigeria na nyingine nimesahau 🙂

Advertisements

One Response to “BRING THE NOISE”

  1. Ndesanjo said

    Napenda sana kila ninaposoma habari za Ndunguru, hasa ninapoona jinsi anavyozidi kupiga hatua mbele. Kuna wasanii na wasanii, Ndunguru ni wa aina yake hata kama hapigwi maredioni usiku na mchana. Anapigwa kwenye redio za mioyo yetu. Mpe salamu!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: