MWENYEMACHO DOT COM

Yanapojiri Nilipo na Wewe Upo

SHINDANO LA SPRITE EMCEE

Posted by Bob Sankofa on January 11, 2008

sprite-emcee-_-habari-kuu.jpg 

Words and Pictures (WAPI) chini ya hisani kubwa ya British Council leo wamefanikiwa kufanya kongamano la utamaduni wa Hip Hop ambalo lilitoa mwanga wa shindano la kutafuta mwanamuziki mwenye kipaji cha muziki wa kufokafoka linalokwenda kwa jina la SPRITE EMCEE. Shindano limeandaliwa na televisheni ya Channel O ya Afrika ya Kusini na litafanyika kesho katika viwanja vya TCC, Dar es Salaam. 

Hapa waandaaji walikuwa wakizungumza na waandishi wa habari.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: