MWENYEMACHO DOT COM

Yanapojiri Nilipo na Wewe Upo

MWANZA KUNANI?

Posted by Bob Sankofa on December 18, 2007

nuru_mwanza.jpg

Mdau Nuru katutumia hii. Nuru anauliza ukisikia Mwanza ni picha gani inakujaa akilini kwa ghafla bin vuu? Bila shaka utasema Sangara. Nuru anakubaliana na hilo ila picha yake inakwenda mbali zaidi kwa kuonyesha kuwa Mwanza ni pamoja na mitaa iliyopangwa ikapangika na barabara zenye staha pia. Picha hii amepiga Jumapili asubuhi mchana, jiji limetulia na hii ni barabara ya kuelekea Mwanza hoteli.

Advertisements

3 Responses to “MWANZA KUNANI?”

 1. simbadeo said

  Hi Bob,

  Picha bomba sana hii. Mpe hi Nuru.

  Hata hivyo, sina uhakika ikiwa ilipigwa asubuhi. Hiyo saa hapo inasomeka vingine. Hicho kivuli, kwa mfano kwenye gari, ni vya jua la utosini.

  Ni maoni tu lakini, otherwise, nimeipenda sana picha hiyo. Imetulia. Hata mie ambaye sijakanyaga Mwanza basi najihisi kuwa nimefika hapo jijini.

 2. Ndio maana huwa nasema Simbadeo unalo jicho la mpiga picha halisi. Ni vitu kama hivyo, kusoma vivuli pamoja na vitu upigavyo picha vinaweza kukufanya mpiga picha makini. Ni kweli hii picha Nuru ameipiga mchana na si asubuhi kama nilivyosema awali. Asante sana kwa marekebisho haya

 3. luihamu said

  Bob huyu ni Nuru Shaban?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: