MWENYEMACHO DOT COM

Yanapojiri Nilipo na Wewe Upo

UNAMKUMBUKA ASHA?

Posted by Bob Sankofa on December 14, 2007

wamkumbuka-asha.jpg

Asha Mtwangi. Ushawahi kulisikia hilo jina? Wapi? Unamfahamu Asha? Unamfahamu kama nani? Ulimsikia kwa mara ya kwanza wapi? Unajua anapendelea nini baada ya kazi? Anasoma vitabu vya aina gani na anasikiliza muziki upi? Chakula akipendacho je? Tafadhali kuwa wa kwanza kutujibia maswali haya na hiyo ndio itakuwa moja ya zawadi yako kwetu kwa sikukuu ya Noeli na ile ya Mwaka Mpya 🙂

Advertisements

6 Responses to “UNAMKUMBUKA ASHA?”

 1. jangeer said

  Mhm………the name rings a certain bell though nimeondoka huko siku mingi.

  Was she the one playing Basketball na Pazi ile ya mid 80’s?

  thats my 2 cents!

 2. Si unaona Jangeer, mi nilikuwa sijui kama dada aliwahi kupiga kikapu lakini inawezekana maana ana fani nyingi mno. Tusubiri watu wengine watuhakikishie kama hii uliyosema ndiyo yeneyewe hasa.

 3. Subi said

  Aaa Bob, huyu Asha Mtwangi, aaa bibie huyu amejaliwa sauti nyoroooooro sana bwana. Mi ninamfahamu tu kwa kumwona kwenye runinga, alikuwa akitangaza habari kituo cha ITV. Nani atuhabarishe zaidi?

 4. Metty said

  Asha Mtwangi alikuwa msomaji wa habari wa ITV.

 5. Mama Big said

  Namfahamu miaka mingi, zaidi ya karne 4. She likes talking, talking – the buzzword word is ‘Communicating’. Baada ya kazi anapenda kuburudika na chai ya moto (Dar es Salaam!), glossy magazine pembeni au kama hajachoka akili, anasoma’The Monk who sold his Ferrari’ by Robin Sharma, I think or some such book. Music?? African Jazz eg Judith Sephuma, Khadja Nin. Chakula?? Chapati na dengu.

 6. baby said

  Alikuwa mtangazaji wa Itv

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: