MWENYEMACHO DOT COM

Yanapojiri Nilipo na Wewe Upo

IRENE AADABISHA USHAIRI JUKWAANI

Posted by Bob Sankofa on December 8, 2007

irene.jpg

Irene Sanga, mtunzi na mghani mashairi wa Kitanzania, jana usiku kwenye kituo cha utamaduni wa watu wa Ufaransa kama vile alivyotuahidi katika mwaliko wake, kwamba atalichakaza jukwaa, ndivyo alivyofanya. Hakupoteza muda mwingi kuomba kupigiwa makofi kama ilivyo kwa wasanii wengi wa muziki wa kibongo. Aliingia jukwaani mitaa ya saa tatu kasorobo usiku na kuturusha kisawasawa na mashairi yake yaliyoundwa yakaundika.

Ukimsikiliza kwa undani unaweza ukasema Irene ndiye Bi. Kidude wa wakati wetu, ila sina hakika kama yeye mwenyewe analifahamu hilo, si unajua manabii huwa hawajitambui. Picha hii yuko na Elidadi Msangi, mshirika wake mkubwa katika masuala ya muziki na pia mtayarishaji wake wa sauti.

Advertisements

One Response to “IRENE AADABISHA USHAIRI JUKWAANI”

  1. sano said

    hongera sana bi irene, kwa kutuburudisha jamani, tulienjoy sana endelea ivyo ivyo dada, na mafanikio mema katika ushahiri na maisha yako yote. Ndio watu kama nyinyi mnahitajiwa kulipa taifa mwanga bila chuki, hongera sana dada.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: