MWENYEMACHO DOT COM

Yanapojiri Nilipo na Wewe Upo

WASHAIRI WAKUTANA TENA NOVEMBER

Posted by Bob Sankofa on December 1, 2007

wanafanani_nov.jpg

Utamaduni wa ushairi unazidi kukua taratibu, kila mwezi kilabu cha ushairi kinazidi kupata wajumbe wapya wawili au watatu. Kilabu hiki chenye umri wa miaka miwili kinajivunia mno washairi wake ilionao ambao wanajitolea kwa moyo wote kuhakikisha sanaa ya ushairi haibaki pweke. Kumbuka wajumbe na viongozi wa kilabu hiki wamefanikiwa kwa miaka miwili kuikuza kilabu bila malipo yeyote, ni Watanzania wachache sana waliobaki na moyo huu. Hongera Wanafanani (washairi) kwa kukutana tena. Maudhui ya mwezi Novemba yalikuwa ni “Growth”

Pia kuna habari njema, mwaka 2008, Januari ni mwaka mpya na kila kitu kinakuwa kipya. Kilabu kinaamia kwenye ukumbi mkubwa zaidi wa duka la vitabu la A Novel Idea pale Shoppers Plaza. Karibuni nyote, mwambie na rafiki.

Advertisements

3 Responses to “WASHAIRI WAKUTANA TENA NOVEMBER”

  1. Hilo pozi lenu “ukumbini” hapo linaniacha hoi sana

  2. Carolline said

    Hey Bob another good piece inabidi ujifagilie hata wewe kwa kazi nzuri na ya kujitolea unayoifanya… hola

  3. Egidio hili pozi hutuweka karibu sana na waliotutangulia.

    Thanks Carol.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: