MWENYEMACHO DOT COM

Yanapojiri Nilipo na Wewe Upo

WANJA LAO LA NESHNO

Posted by Bob Sankofa on November 20, 2007

wanja-lao.jpg

Jamaa hapa Uganda walishatupiga bao zamani kishenzi kwa swala la wanja la neshno, wanaliita Mandela National Stadium. Wanja lao liko nje kidogo ya jiji la Kampala. Sasa wanaimarisha miundo mbinu ili iwe rahisi kufikia uwanja huo kwa magari mengi zaidi kwa wakati mmoja.

Advertisements

One Response to “WANJA LAO LA NESHNO”

  1. Hili wanja kaka nilijua ndio liko matengenezoni kwa kuangalia kwa nje.Kuna mmoja naukumbuka unaitwa “Nakivubo” uko kampala kama sijakosea

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: