MWENYEMACHO DOT COM

Yanapojiri Nilipo na Wewe Upo

MTERA YAO

Posted by Bob Sankofa on November 20, 2007

mtera-yao.jpg 

Kabla hujaingia Jinja mjini unakutana na bwawa hili kubwa la kuzalisha umeme, hii ndiyo Mtera yao. Hii ni sehemu ya mto Nile. Picha hii kidogo ilete mtafaruku maana hii ni moja ya zile sehemu wanaita NO PHOTO ZONES, ukionekana na kamera balaa. Polisi walitusimamisha ikabidi kuomba sana msamaha tena kwa Kiswahili (ambacho hawaelewi sana) ili mazungumzo yawe mafupi. Walituachia baadae.

Advertisements

2 Responses to “MTERA YAO”

  1. Hili bwawa ndio linasosambaza umeme maeneo ya mkoa wa kagera kama sijakosea.nakumbuka zamani wakati naishi Bukoba pale umeme huu ulipoanza kutumika,ulikuwa mkali sana balbu zilikuwa zinapasuka sana basi ikawa tafrani.Inabidi taa ziwashwe kuanzia saa 3 usiku.

  2. Matty said

    mh!!!!!!!mtera yao inavutia sana na vilevile pametulia big up!!!!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: