MWENYEMACHO DOT COM

Yanapojiri Nilipo na Wewe Upo

MATOKE

Posted by Bob Sankofa on November 19, 2007

matoke.jpg 

Ukifika na kuondoka Uganda bila kula Matoke ni sawa na kutofika nchi hii na wenyeji wako watajisikia vibaya kwelikweli. Hakuna aina ya chakula kinachozalishwa kwa wingi katika nchi hii kama matoke na ni biashara kubwa sana inayopeleka mkono wa Waganda wengi kinywani. Hivi chakula kikuu cha Tanzania ni nini tena vile?

Advertisements

One Response to “MATOKE”

  1. mihayo said

    labda ugali!!! i mean mahindi. ila naona hatuna maana tunamakabila mengi sana bongo na kila kabila linachakula chake kikuuuu, ila ugali naona kila kabila linakula. ni mtazamoo wangu tuuu

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: