MWENYEMACHO DOT COM

Yanapojiri Nilipo na Wewe Upo

HODI HODI KAMPALA

Posted by Bob Sankofa on November 12, 2007

39499420img_0211.jpg

Haya wadau na marafiki wa Uganda, ni wakati mwingine wa mikutano na kukutana. Nitakuwepo jijini Kampala kwa mkutano wa Jumuiya ya Madola pamoja na mkutano mwingine wa masuala ya Televisheni na Mazingira kuanzia keshokutwa, 14/11 hadi 21/11. Susan Bamutenda nitafurahi sana ukinipeleka mtaa huu kwenda kukutana na Waganda pamoja na kupata matoke na halafu baada ya hapo, Uganda by night. Sanaa Gateja nitapenda sana kutembelea duka la sanaa zako, Andrew Mwenda tukutane kwa kikombe cha chai (nimestaafu mvinyo kwa muda 🙂 na tuzungumzie siasa kidogo). Hodi hodi Kampala!

Picha kwa msaada wa Google

Advertisements

2 Responses to “HODI HODI KAMPALA”

  1. simbadeo said

    Du, ama kweli East Africa ni moja. Ukitazama kwa haraka utadhani Dar. Tofauti ni makoti tu kwenye baadhi ya miili ya watu.

    Bob ukienda huko, mwambie Museveni kuwa hatumtaki kuwa presida wa kwanza wa EA Federation. Aachie ngazi ili wengine waendeleze yale mazuri aliyoyaanzisha, maana yeye hivi sasa ashaanza kuboronga.

    Usisahau bwana.

    Kila la kheri katika hekaheka za kampala.

  2. Simbadeo nitatuma ujumbe huo siku nikiwa nakamata pipa la kurejea kwa Jakaya, si unajua mamlaka za Kiafrika 🙂

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: