MWENYEMACHO DOT COM

Yanapojiri Nilipo na Wewe Upo

NA MSHINDI NI…

Posted by Bob Sankofa on November 10, 2007

na-mshindi-ni.jpg

Wabunifu waliokuwa wakishindania nafasi ya kuiwakilisha nchi katika mashindano ya kimataifa kupitia Redd’s walikuwa sita. Wabinifu wote walikuwa safi sana ila Mama Hilda Bandio ndio alikuwa kiboko zaidi. Aliwavisha warembo wake magauni ya mkeka na magome ya mgomba. Hili la mgomba (amevaa mrembo hapo kushoto) ndio lilikuwa funiko la kufa mtu. Mama Hilda anakwenda kutuwakilisha Msumbiji. Hongera sana Mama Hilda, hii staili ya kuwavalisha watu mimea imetulia.

Advertisements

One Response to “NA MSHINDI NI…”

  1. HALIMA KASSIM (HK) said

    Dah, sio siri Bob Mama Hilda, anastahili pongezi sana katika ubunifu wake wa mavazi, we si unacheki kwanza huyo dem the way she looks poa? Yani than aliye vaa nguo ya kitambaa, duh! for real inabidi huyo mama apachikwe jina la MAMA UBUNIFU.. itakua safi sana. Asante sana SANKOFA kwa kutumuvuzishia hilo li news na pic. Ingekua bado yuko enzi za ujana tunge m’ dedicate li song la MA DEM WATAFUTAJI hahahahaaaaaaaaaaaaa……

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: