MWENYEMACHO DOT COM

Yanapojiri Nilipo na Wewe Upo

MSEMA CHOCHOTE

Posted by Bob Sankofa on November 10, 2007

jokate-wetu.jpg

Niliwahi kusema kuwa Miss Tanzania namba mbili wa mwaka 2006 ni maktaba ya vipaji. Hajafikisa miaka 25 tayari ameshacheza sinema, ameshakuwa mrembo wa Tanzania, ameshakuwa balozi wa Redd’s, ameshafanya matangazo ya radioni na jana kwa kati ya mara zilizo nyingi, ndio alikuwa mwendesha shughuli katika shindano la kumtafuta mbunifu maahiri wa Redd’s. Huyu si mwingine ni Jokate. Ukicheki hiyo posture tu utajua kuwa dada anajiamini. Kanyaga twende Jokate.

Advertisements

6 Responses to “MSEMA CHOCHOTE”

 1. HALIMA KASSIM (HK) said

  Yah, Bob tunamuaminia mrembo Jokate, kilichopo akaze mwendo. Si utani mabint wa KITANZANIA wanajitahidi ile mbaya. Bravooooooooooooooooooo, Thanx Bob kwa mi news yako, endelea kutumuvuzihia we ndio mchizi wetu.

 2. dennis mihayo said

  umesahau kipaji kingine, nimemsikia kwenye nyimbo moja hivi ameimba na c pwaaa inaitwa japo rafiki pamoja na sumaleee. mtoto nimemkubali full vipaji

 3. mihayo said

  umesahau kipaji kingine, nimemsikia kwenye nyimbo moja hivi ameimba na c pwaaa inaitwa japo rafiki pamoja na sumaleee. mtoto nimemkubali full vipaji,!!!!

 4. Dah! Baab Kubwa

 5. Halima nashukuru kwa kuona juhudi za dada na pia kwa kuwa mdau mpenzi wa blogu. Asante.

  Asante Denis kwa kutufahamisha hilo la kipaji cha uimbaji.

  Pamoja Egidio.

 6. gera said

  hongera afadhali wewe unafanya mambo ya maana, kuliko wale niliowaona na wewe, mara ya mwisho kwenye party, maana siku hizi party watu wanapanga kulipizana visasi, jamani, ednelea kuburudisha watu, tunahitaju ulinzi mkali sehemu zote, vurugu zinaanza tanzania pole pole.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: