MWENYEMACHO DOT COM

Yanapojiri Nilipo na Wewe Upo

KIKWETE HEBU NJOO TUUZE SURA KIDOGO

Posted by Bob Sankofa on November 10, 2007

familia-na-rizwan.jpg

Hili ndio lilikuwa snepu la kufungia usiku wa jana. Hapa tulikuwa tuko kwenye harakati za kukamata usafiri tayari kurudi makwetu, mara Rizwani huyo. Nikamwambia my better half (mwenye kilemba), “Kama hatuwezi kupiga picha na ze prezident himselifu kwa nini tujivunge kunyuka na ze boi himselfu?” Hatukujiuliza mara mbili, fasta tukamkamata jamaa na kunyuka hii. Ze boi iz luk laik faza kabisa 🙂 . Huyo dada wa kizungu ni mmoja wa wadau wa blogu hii ambaye huitumia kujifunza maneno kadha ya Kiswahili kila siku, anaitwa Thea.

Advertisements

4 Responses to “KIKWETE HEBU NJOO TUUZE SURA KIDOGO”

  1. luihamu said

    Bob mbona kimya mkuu,ile shule vipi mkuu wangu?

  2. Luihamu hebu nikumbushe vyema man, nimekuwa nakimbiza mambo mengi sana kwa wakati mmoja kaka.

  3. gera said

    maendeleo ya vijana tanzania jamani, maonyesho mengi tena sana. Huyo jamaa, mbona baba ake ana picha nyingi tu na watu.

  4. gera said

    bob ilikuwa show nzuri sana, umependeza bob na kina dada hao.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: