MWENYEMACHO DOT COM

Yanapojiri Nilipo na Wewe Upo

FREDDY NA FREDDY WANAPOKUTANA

Posted by Bob Sankofa on November 10, 2007

freddy-na-freddy.jpg

Freddy Halla(Shotii) na Freddy Saganda (tolu) kila wanapokutana huwa ni vituko kwenda mbele. Halla huwa ana imani kuwa bado anarefuka na iko siku atampita urefu Saganda na kama si hivyo basi iko siku Saganda atapungua kimo. Wamekutana tena jana pale Diamond Jubilee Hall. Kama kawaida Halla akajimuvuzisha fasta kujipima kimo na Saganda ili kumhakikishia kuwa anarefuka kwa kasi ya Jet hivyo Saganda akae chonjo. Haya ni mambo ya kusubiri na kuona!

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: