MWENYEMACHO DOT COM

Yanapojiri Nilipo na Wewe Upo

WARSHA YA WASANII WA GRAFITI YAFIKA TAMATI

Posted by Bob Sankofa on November 9, 2007

warsha-imekwisha.jpg

Hawa ni baadhi ya wasanii waliohudhuria warsha ya siku tatu ya sanaa ya grafiti. Warsha hii ilikuwa ikiendeshwa na mkufunzi toka Marekani, Kool Koor (mwenye kofia na fulana ya rangi ya udongo). Kwa upande wa kushoto unaweza kuniona nikitoa tabasamu utafikiri na mimi nilikuwa mmoja wa wasanii wale kumbe wapi blablah tu, mi nilikuwepo kuwasaidia kuweka kumbukumbu tu ya warsha yao. Kool Koor anarudi tena mwezi Desemba kwa Warsha nyingine. Kaa tayari.

Advertisements

One Response to “WARSHA YA WASANII WA GRAFITI YAFIKA TAMATI”

  1. dennis mihayo said

    hao jamaa kiboko mtumzima naona wamechafua kuta kitaalam!! vipi ule ukuta wa jangwani bado unapicha zile zile au zimechorwa zingine? kama bado kwaninihao jamaa wasiende na pale wakitie machata pale patakuwa bomba sana kama pakichorwa mapicha mapya kila mara,

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: