MWENYEMACHO DOT COM

Yanapojiri Nilipo na Wewe Upo

TAMASHA LA FILAMU ZA ULAYA LIMEWADIA

Posted by Bob Sankofa on November 7, 2007

european-film-festival.jpg

Usiseme sikukuambia!

Tamasha maarufu la filamu za Ulaya (Europea Film Festival) limewadia tena na linaanza Ijumaa ya tarehe 9/11 na litakwisha tarehe 29/11 mwaka huu. Tamasha linafanyika katika jumba la sinema la New World Cinema lililoko Barabara ya Bagamoyo, kituo cha mabasi cha ITV. Kiingilio ni bure kabisa, usisingizie huna pesa 🙂 .

Siku ya tarehe 9, itaonyeshwa sinema ya Kiafrika inaitwa, Kina and Adams, imeongozwa na mwafrika aitwaye Idrissa Ouedraogo. Ni filamu nzuri, nimeshaiona ila nitakwenda kuiona tena. Imeingia kwenye tamasha hili kwa sababu ilifadhiliwa na European Commission. Katika mfululizo wa filamu zilizopo kwenye tamasha hili nakusihi wewe kama Mwafrika usiikose hii. Itaonyeshwa kuanzia saa kumi na moja ya jioni.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: