MWENYEMACHO DOT COM

Yanapojiri Nilipo na Wewe Upo

MIAKA MIWILI YA KILABU CHA USHAIRI BONGO – MRISHO MPOTO

Posted by Bob Sankofa on November 5, 2007

mrisho-akitukuza-kiswahili.jpg

Katu huwezi kufanya shughuli ya ushairi hata siku moja halafu usimshirikishe Mrisho Mpoto, maana watu huwa wakifika tu kwenye shughuli hiyo swali la kwanza utakaloulizwa ni “Mrisho yupo?”. Na watu wakishaingia shughulini hawaondoki hadi wamuone huyu jamaa. Mrisho alikuwepo shughulini na kama kawaida alitema tenzi kwa Kiswahili. Cha kushangaza hata wageni (Wazungu na Waasia) walikuwa wakimshangilia. Kumbe basi ushairi ni zaidi ya lugha fulani, kwani inatuuganisha sote.

Advertisements

One Response to “MIAKA MIWILI YA KILABU CHA USHAIRI BONGO – MRISHO MPOTO”

  1. Kumekucha waungwana wenzangu katika mapana ya fikra uwanda wa upeo, vipi kuhusu juzi pale kwenye sherehe za maitaji ya nane
    miaka kufikia mwongo mmoja tulikomtoa mwali ,akiwa amependeza sana richa yna mavazi na muonekano wa wanje pia basi jina zuri SAVANA.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: