MWENYEMACHO DOT COM

Yanapojiri Nilipo na Wewe Upo

MIAKA 2 YA KILABU CHA USHAIRI BONGO

Posted by Bob Sankofa on November 5, 2007

kata-keki-tule.jpg

Jumamosi ya tarehe 3/11 wanajumuiya ya ushairi wa kibongo (Fanani Flava) tulijumuika kusherehekea kutimia kwa miaka miwili ya kilabu cha wanaushairi wa bongo pale Alliance Francaise. Kama kawaida hatukuionea keki huruma hata kidogo, tuliishughulikia inavyotakiwa. Mwenye nguo ya rangi ya dhahabu ndiye muasisi wa kilabu chetu, Neema Kambona.

sunday-kumbuka-wazee.jpg

Pia mwanaushairi matata, mkali wa free style, Sunday, alituongoza katika swala zima la kuwaalika waliotutangulia mbele ya haki (ancestors) kwa kumwaga mvinyo kidogo sakafuni. Hii ni ishara ya kuwavuta watu kama kina Shaaban Robert, Andanenga na Sitti binti Saad karibu nasi, wanaushairi wa kisasa.

Advertisements

2 Responses to “MIAKA 2 YA KILABU CHA USHAIRI BONGO”

  1. Hongereni wana kilabu cha ushairi Bongo.Vitabu vya Shaban Robert bado vinatumika kufundishia mashuleni?

  2. Tunashukuru Egidio, vitabu vya Shaaban bado vinatumika, si unajua huyu ndio Kiswahili Laurate? Yani kama vile alivyo Shakespear kwenye Kiingereza

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: