MWENYEMACHO DOT COM

Yanapojiri Nilipo na Wewe Upo

EAST AFRICA ART BIENNALE – MWENYE MACHO

Posted by Bob Sankofa on November 3, 2007

sisi.jpg

Naipenda sana kazi ya kublog kwa kweli, inanipa tiketi za kuingia maeneo mengi sana na kukutana na watu wengi sana. Hapa niko na msanii mkubwa wa fani ya uchoraji na kipenzi cha watoto, kaka Ernest Mtaya. Kaka Ernest ni mtu mmoja poa sana, huwa ananifurahisha sana katika swala zima la uvaaji wa makobadhi na soksi. Kaka Ernest ameniambia anaoa tarehe17/11/2007, kama hajakupa kadi ya mchango mwambie akutumie fasta.

Upande wangu wa kushoto amesimama “My Better Half”, nimetia kizungu hapo 🙂 . Ukisoma ukurasa wangu wa Mimi ni Nani, utaona pale kwenye kipengele cha mahusiano niliandika kuwa “Sijaoa ila nimeshachukuliwa”, basi huyu ndiye mchukuzi mwenyewe. Huyo ni Mwandale Mwanyekwa ambaye nimemzungumzia hivi punde hapo chini, bofya hapa kupata maelezo yale.

Angalau na mimi kidogo leo nimo kwenye foto maana huwa nawafotoa wenzangu tu. Asante kakaFreddy Halla, mfotoaji wa foto hii.

Advertisements

3 Responses to “EAST AFRICA ART BIENNALE – MWENYE MACHO”

 1. Bonge la picha.Nimependa mavazi yenu lakini zaidi ni kumuona “mchukuzi” wako. Picha safi mkuu

 2. haki Blog said

  Bob umenikumbush mbali sana
  juu ya kaka Ernest Mtaya’ kwani
  nilikua mwanafunzi wake pale
  bunge…
  Nisalimie sanaa..

 3. kenneDy said

  Picha nzuri sana haswa kwa kuwapata hao wasanii wanaodumisha mavazi yetu ya Kiafrika.Ukicheki Erinest ana aina yake pekee ya uvaaji hivyo hivyo dada mwandale.Sina mengi nadhani unanikumbuka!!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: