MWENYEMACHO DOT COM

Yanapojiri Nilipo na Wewe Upo

JUMUIYA YA WASHAIRI WA BONGO

Posted by Bob Sankofa on September 26, 2007

img_3105.jpg

Hii ni Jumuiya wa washairi wakiwa wameketi ndani ya duka la A Novel Idea wakisikilizishan tungo zao. Kile kiti pembeni ya yule mzugu mwenye kaptura ni cha kwangu mimi, kama umeangalia kwa makini utaona kwa chini kuna bilauri ya mvinyo 🙂 . Naam Ushairi murua huambatana na mvinyo murua.

Tatizo ukiwa mpiga picha ni vigumu kutokea kwenye picha zako, nimetamani sana kutokea kwenye picha za mkutano huu lakini haikuwezekana.

Picha na: Bob Sankofa
Mahali: Slipway, Dar es Salaam

Advertisements

3 Responses to “JUMUIYA YA WASHAIRI WA BONGO”

  1. Hapo ni mwendo wa vina tu…kaka naona watasha wengi wanaghani kwa kiswahili au kikatoliki?.Kuna jamaa wangu pale Muccobs alikuwa bila kupata mvinyo hawezi kuingia darasani na mtihania anafanya akiwa njwii!

  2. Kaka Egidio, niko katika harakati za kuhakikisha kuwa blogu inaitangaza shughuli ile kwa nguvu hadi Wazawa waweze kupafahamu mahala pale vizuri na kuifahamu shughuli yenyewe pia ili waweze kuhudhuria kwa wingi. Unajua kumekuwa na kasumba moja mbaya sana kwamba sehemu kama Slipway ni kwa ajili ya wazungu peke yao basi watu wa hapa nyumbani huwa wanapaogopa kidogo. Tunapambana kubadili mtizamo huo.

  3. Ebawana kweli mkuu,maana pale wengine huwa tunapaona kwa mbali tunajua hata mvinyo wa pale si ule wa kwetu Uswazi.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: