MWENYEMACHO DOT COM

Yanapojiri Nilipo na Wewe Upo

UTAKAPOJUA HUJUI NDIO UTAKAPOJUA

Posted by Bob Sankofa on September 11, 2007

ndesanjo.jpg

Msemo maarufu sana huu wa yule mwanablogu matata, Ansbert Ngurumo. Kwa nini nimeutumuia msemo huu. Nimekuja kugundua kuwa Ndesanjo Macha ni mtu maarufu sana kuliko mtu unavyoweza kudhania. Tatizo ni kuwa Ndesanjo hajijui kuwa ni maarufu kiasi hicho, lakini ukitaka kujua kuwa huyu jamaa ni “popular” mtafute wakati wa “chai time”, simama uongee nae, hazipiti dakika mbili atakuwa ashadakwa na mtu mwingine, na kabla huyo mtu mwingine hajamaliza kumsalimia utakuta Ndesanjo ashavutwa na mtu mwingine.

Hapa dada wa Kusini anaomba autograph ya jamaa.

Swali, Je Ndesanjo angeblogu kwa Kizungu bado angekuwa maarufu?

Utakapojua Hujui, Ndio Utakapojua.

Advertisements

One Response to “UTAKAPOJUA HUJUI NDIO UTAKAPOJUA”

  1. mwandani said

    poa kabisa. Endelea kuwakilisha.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: