MWENYEMACHO DOT COM

Yanapojiri Nilipo na Wewe Upo

PESA YENU KIBOKO!

Posted by Bob Sankofa on September 11, 2007

pesa-yenu.jpg

Daudi Were, mwanablogu toka Kenya amesimama nje ya chumba cha mkutano na dada, jina lake sikufanikiwa kulipata, yeye ni mwandishi wa habari toka Zimbabwe. Sijui ilikuwaje hadi Daudi akaleta maongezi ya pesa ya Zimbabwe, wanajua wenyewe.

Hapa dada anamwonyesha Daudi noti ya dola laki mbili za Zimbabwe. Daudi akamuuliza, “Kwa pesa hii naweza kupata nini na nini?” Dada akamjibu, “Chupa nne za Coca-Cola”. Ndio nikawakuta hapa wanacheka. Mikutano ina mengi, dola laki mbili, chupa nne za Coca?

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: