MWENYEMACHO DOT COM

Yanapojiri Nilipo na Wewe Upo

MAMBO YOTE HUMU

Posted by Bob Sankofa on September 10, 2007

rhodes.jpg

Humu ndimo mkutano mzima wa Highway Africa unafanyika, mkutano wa Digital Citizen Indaba ni kipisi kimoja wapo cha mkutano huu. Hiki ni chuo kikuu cha Rhodes ambacho kiko Port Elizabeth katika kitongoji cha Grahamstown. Ukiingia ndani ya eneo la chuo hiki ndio utaelewa hasa kwa nini Makaburu walikuwa hawataki kujichanganya na watu weusi. Nadhani wakati wanajenga hawakuwahi kufikiri kuwa watu weusi wanaweza kuja kusoma hapa siku moja. Unauliza kwa nini? Nitakujibu baadae.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: