MWENYEMACHO DOT COM

Yanapojiri Nilipo na Wewe Upo

RAHA YA NGWASUMA KUPEANA SAPOTI

Posted by Bob Sankofa on September 4, 2007

img_2102.jpg

Uzuri wa live band ndio huu, midadi ikikupanda ruksa kujimuvuzisha kwa steji na kuserebuka na watoa burudani. Huyu ni mshabiki maarufu wa Wazee ya Kitu yetu ambaye anakwenda kwa jina maarufu la “Jimama”. Akipanda stejini huyu watu wote wanaacha kila wanachofanya, macho stejini…

img_1969.jpg

Midadi iko ya aina nyingi, kuna hii ya kwenda kutuza pia. Dada kafurahishwa na mnenguaji huyu, kapanda stejini kwenda kumpa haki yake.

Picha na: Bob Sankofa

Mahali: Msasani Club, Dar es Salaam

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: