MWENYEMACHO DOT COM

Yanapojiri Nilipo na Wewe Upo

HAPA KAZI TU! KAZI TU!

Posted by Bob Sankofa on September 3, 2007

img_2070.jpg

Watanzania wote tukifanya kazi zetu kwa kuzifurahia kama hivi tutakwenda mbali mno…

img_1973.jpg
Wanafalsafa wa Kiafrika waliwahi kusema ngoma humvuta binadamu karibu na Muumba wake, huyu bwana analijua hilo na anazifyatua vilivyo…
img_2073.jpg
Kanyaga twende mama…
img_2096.jpg
Lishe yako ikiwa mgogoro unaweza ukaanguka stejini. Unatakiwa kucheza kwa stepu na usimkanyage mwenzio…
img_1975.jpg
Hakuna ngwasuma bila gita zito.

 

 

Bado picha zaidi zinakuja.

 

UHURU!

 

Picha na: Bob Sankofa

 

 

Mahali: Msasani Club

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: