MWENYEMACHO DOT COM

Yanapojiri Nilipo na Wewe Upo

UTANDAWAZI SOO!

Posted by Bob Sankofa on June 5, 2007

Mkutano wa TED unafurahisha sana, nakaa natafakari kuwa sisi Watanzania tunaupokeaje utandawazi.

Hawa jamaa wako kwenye mgahawa wa Internet hapa Ngurudoto, Arusha, wanawasiliana na ulimwengu wote. Yani wanaupasha habari ulimwengu juu ya kile kinachoendelea hapa sasa. Kuna huyo dada hapo kushoto, ni rafiki yangu anaitwa Jen Brea, yeye ni mpiga picha pia. Tulikutana mtandaoni halafu tumekutana kwa mara yay kwanza “live” hapa Arusha. Yeye ni Mmarekani lakini anakaa Beijing, China. Nafikiri anawaandikia rafiki zake huko. Mcheki kwenye www.jenbrea.net

Kuna huyo bwana mweusi hapo kulia, yeye anaitwa David McQueen. Ni mwingereza. Yeye ni mtaalamu wa kufundisha watu kuzungumza mbele ya hadhira. Kama una tatizo la kuikabili hadhira mtafute jamaa fasta kwenye www.milestoneunltd.com. Jamaa anasema ana uzoefu wa kufundisha kwa miaka 20 sasa. Nilimfuma anachat na mkewe, anamwambia “Arusha safi sana!”

Hao wachina watatu sina habari zao ila nao wako kwenye TED.

Utandawazi unakutanisha jamii zote hata ubishe vipi.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

»
 
%d bloggers like this: