KARIBU MGENI
Posted by Bob Sankofa on March 7, 2008

Mwandale Mwanyekwa, msanii na muandaaji mshiriki wa maonesho haya akiwakaribisha wageni waliofanikisha uwepo wa maonesho haya kwa kutoa fedha. Mwenye nguo ya bluu ni mama kutoka Benki ya Kenya na huyo mzungu ni mfadhili toka Ubalozi wa Uswizi. Wafadhili hawa wameahidi mbele ya hadhira kwamba msaada wao hautaishia kwenye maonesho haya, watasaidia kina dada hawa kuanzisha chama cha Wasanii Wanawake Tanzania.
Dada mwenye mtoto pale nyuma ni Pili, msanii mshiriki, na yule mwenye kilemba cha buluu bahari ni Pudenciana, msanii mshiriki vilevile.





steve said
Babake, Mwandale is a combination of beauty, intelligence , independence and creativity, So son “You’ve scooped a hot one!”
cait said
Kati ya wasichana ninaowakubali katika fani hii ya sanaa hasa za mikono Mwandale namkubali… yuko so creative and yaani anawaza mbele siku zote…Uzidi kubarikiwa uyawazoyo yafanikiwe dear… wewe ni mwanamke wa shoka….
Big up!
Stay blessed.