NGOME KONGWE, KILA KITU HAPA.
Posted by Bob Sankofa on February 8, 2008

Huu ndio ukumbi wa Ngome Kongwe ambako tamasha linaendelea. Hapa ni kwa nje. Tutakuwa hapa hadi Jumapili ya jioni tamashalitakapotia nanga.

ringomoses said
Hii ‘shoti’ nimeikubali! kama nakuona ulivyoiposition kamera at such an angle!